Hamia kwenye habari

Georgia

 

Mashahidi wa Yehova Nchini Georgia

  • Mashahidi wa Yehova​—18,841

  • Makutaniko​—224

  • Hudhurio kwenye Ukumbusho wa kifo cha Kristo uanofanywa kila mwaka​—34,169

  • Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganisha na idadi wa watu nchini​—1 kwa 199

  • Idadi ya watu​—3,736,000

2018-11-28

GEORGIA

Kusanyiko la Kwanza la Pekee Kufanywa Tbilisi, Georgia

Tukio hilo la kitheokrasi, ambalo limefanywa kwa mara ya kwanza nchini Georgia, lilihusisha karamu kubwa ya kiroho, ukarimu, na pindi za kufurahia utamaduni na historia ya eneo hilo.

2017-12-21

GEORGIA

Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu Yaridhishwa na Hatua ya Serikali ya Georgia Kukiri Kuwa na Hatia

Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu(ECHR) yaridhishwa na hatua ya Jamhuri ya Georgia kukiri kuwa ilikiuka haki za Mashahidi wa Yehova kumi.

2017-05-15

GEORGIA

Mahakama ya Ulaya Yatetea Haki ya Kidini ya Mashahidi wa Yehova Nchini Georgia

Uamuzi wa karibuni wa ECHR unalinda uhuru wa Mashahidi kukusanyika pamoja kwa ajili ya ibada na kuwaeleza majirani wao imani yao ya kidini kwa amani.

2015-07-29

GEORGIA

Mahakama ya Ulaya ya Haki za Binadamu Imeridhishwa na Hatua ya Georgia Kukiri kwamba Ilikiuka Haki za Mashahidi wa Yehova

Georgia ilitangaza kwamba ‘haikutenda haki’ kwa kufuta usajili wa mashirika ya kisheria ya Mashahidi. Hatua hiyo ya serikali ilisababisha Mashahidi wateswe na kufanyiwa jeuri kwa miaka mingi.

2015-05-06

GEORGIA

Mashahidi wa Yehova Wasambaza Habari Kuhusu Hukumu Iliyotolewa na ECHR Nchini Georgia

Aprili 2015, kutakuwa na kampeni itakayotoa habari kwa mamlaka zinazosimamia utekelezaji wa sheria, kuhusu hukumu ya karibuni iliyotolewa na Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu, na utendaji wa kidini wa Mashahidi wa Yehova.

2014-11-13

GEORGIA

Georgia Yashinikizwa na Mahakama ya Ulaya ya Haki za Kibinadamu Kutekeleza Sheria

Oktoba 7, 2014, mahakama ya ECHR ilitoa uamuzi uliowatetea Mashahidi wa Yehova katika Jamhuri ya Georgia. Mamlaka zilipatikana na hatia ya kuwanyima Mashahidi wa Yehova haki yao ya uhuru wa kidini na haki nyingine za kibinadamu.