Hamia kwenye habari

RWANDA

Matukio Muhimu Kihistoria Nchini Rwanda

Matukio Muhimu Kihistoria Nchini Rwanda
  1. NOVEMBA 28, 2014—Mahakama moja iliyo Karongi yatoa uamuzi kwamba kutoimba wimbo wa taifa si kukosa heshima

    SOMA ZAIDI

  2. 2004—Zaidi ya Mashahidi 100 wakamatwa kwa kudumisha msimamo wao wa kutounga mkono upande wowote wa kisiasa

  3. DESEMBA 13, 2002—Serikali mpya inawasajili upya Mashahidi wa Yehova

  4. APRILI 1994—Mauaji ya halaiki yaanza na Wanyarwanda karibu milioni moja wanauawa, kutia ndani Mashahidi 400

  5. APRILI 13, 1992—Mashahidi wa Yehova wasajiliwa kisheria

  6. OKTOBA 1990—Kikosi cha Rwandan Patriotic Front chavamia kaskazini mwa Rwanda kutokea Uganda

  7. NOVEMBA 1982—Serikali yapiga marufuku Mashahidi wa Yehova

  8. MACHI 1970—Utendaji wa Mashahidi wa Yehova waripotiwa kwa mara ya kwanza nchini Rwanda