Hamia kwenye habari

Ndugu Maksim Morozov na Ndugu Yuriy Usanov

AGOSTI 24, 2022
URUSI

Kuwafikiria Wengine Huwasaidia Akina Ndugu Kuvumilia Kifungo

Kuwafikiria Wengine Huwasaidia Akina Ndugu Kuvumilia Kifungo

Mahakama ya Jiji la Taiginskiy iliyo katika Eneo la Kemerovo itatangaza hivi karibuni uamuzi wake katika kesi inayowahusu Ndugu Maksim Morozov na Ndugu Yuriy Usanov. Mwendesha-mashtaka bado hajatoa ombi la hukumu anayopendekeza.

Mfuatano wa Matukio

  1. Aprili 1, 2021

    Kesi ya uhalifu ilifunguliwa dhidi ya Yuriy kwa madai ya kupanga mikutano ya kidini ya shirika lililopigwa marufuku

  2. Aprili 2, 2021

    Maofisa wa polisi walipekua nyumba ya Yuriy kwa saa tatu. Alikamatwa na kupelekwa mahabusu

  3. Agosti 4, 2021

    Kesi ya uhalifu ilifunguliwa dhidi ya Maksim

  4. Agosti 6, 2021

    Maksim alikamatwa na kuzuiliwa usiku mzima

  5. Agosti 7, 2021

    Maksim alishtakiwa kwa kosa la uhalifu na akapelekwa mahabusu

  6. Mei 16, 2022

    Kesi ya uhalifu ilianza

Maelezo Mafupi Kuwahusu

Tunajua kwamba Yehova anathamini sana jinsi ndugu na dada hao wanavyojidhabihu. Tuna uhakika kwamba Yehova ataendelea kuwabariki sasa na atawabariki hata zaidi milele.​—Waebrania 11:26.

a Makala hii ilipokuwa ikitayarishwa, Ndugu Usanov alikuwa mahabusu. Hatukuweza kupata maelezo kutoka kwake.