Hamia kwenye habari

Ndugu Sergey Lukin

MEI 21, 2024
URUSI

Ni Heshima Kubwa Kulitetea Jina la Yehova

Ni Heshima Kubwa Kulitetea Jina la Yehova

Mahakama ya Jiji la Biysk iliyo katika Eneo la Altai itatangaza uamuzi wake hivi karibuni katika kesi inayomhusu Ndugu Sergey Lukin. Mwendesha mashtaka bado hajatoa ombi la hukumu anayopendekeza.

Maelezo Mafupi Kumhusu

Tunathamini sana mfano wa Sergey, ambao unatukumbusha kwamba upendo wetu kwa Yehova “hutupa woga nje.”​—1 Yohana 4:18.

Mfuatano wa Matukio

  1. Desemba 1, 2022

    Kesi ya uhalifu ilifunguliwa

  2. Januari 25, 2023

    Jengo na ofisi ilifanyiwa msako. Alihojiwa na kuwekewa vizuizi vya kusafiri

  3. Januari 25, 2024

    Kesi ya uhalifu ilianza