Maoni Kuhusu Chanzo cha Uhai
Kwa Nini Tuna Imani Katika . . . Kuwepo kwa Mungu
Utata uliopo katika vitu vya asili ulimsaidia profesa mmoja kufikia mkataa unaofaa.
Mtaalamu wa Ubongo Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu
Profesa Rajesh Kalaria anaeleza kuhusu kazi na imani yake. Ni nini kilichofanya avutiwe na sayansi? Kwa nini aliamua kuchunguza chanzo cha uhai?
Irène Hof Laurenceau: Mtaalamu wa Magonjwa ya Mifupa Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu
Kazi yake iliyohusisha kushughulikia miguu bandia ilimfanya atilie shaka imani yake katika mageuzi.
Monica Richardson: Daktari Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu
Alijiuliza ikiwa kuzaa kunatokea kimuujiza au kuna mbuni anayehusika. Alifikia mkataa gani kutokana na uzoefu wake akiwa daktari?
Mtaalamu wa Biolojia ya Viini-Tete Anaeleza kwa Nini Anamwamini Mungu
Zamani, profesa Yan-Der Hsuuw aliamini mageuzi, lakini alibadili maoni yake baada ya kuwa mwanasayansi.
Daktari wa Upasuaji Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu
Kwa miaka mingi Dakt. Guillermo Perez aliamini mageuzi, lakini sasa anasadiki kwamba mwili wetu ulibuniwa na Mungu. Ni nini kilimfanya abadili maoni yake?
Mtaalamu wa Figo Anaeleza kwa Nini Anamwamini Mungu
Kwa nini daktari ambaye hakuamini kuna Mungu alianza kuchunguza kumhusu Mungu na kusudi la uhai? Ni nini kilichomfanya abadili maoni yake kuhusu mambo hayo?
Mtaalamu wa Programu za Kompyuta Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu
Alipoanza kazi yake akiwa mtaalamu wa hesabu, Dakt. Fan Yu aliamini mageuzi. Sasa anaamini kwamba uhai ulibuniwa na kuumbwa na Mungu. Kwa nini?
Massimo Tistarelli: Mbuni wa Roboti Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu
Kuiheshimu sayansi kulimfanya aanze kuwa na shaka kuhusu imani yake katika mageuzi.
Mwanafizikia Aeleza kwa Nini Anamwamini Mungu
Mambo mawili muhimu ya asili yalimsadikisha Wenlong He kwamba kuna Muumba.
Mtaalamu Anayefanya Utafiti Anaelezea Kuhusu Imani Yake
Frédéric Dumoulin alichukia dini sana hivi kwamba akawa mtu asiyeamini Mungu. Kujifunza Biblia na ubunifu ulio katika vitu vyenye uhai kulimsadikisha kwamba kuna Muumba?
Mwanabiolojia Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu
Mambo ambayo Dakt. Hans Kristian Kotlar alijifunza kuhusu mfumo wa kinga yalimfanya atake kujua chanzo cha uhai. Kujifunza Biblia kulijibuje maswali yake?
Mwanabiolojia Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu
Utendaji tata wa chembe ulimfanya Feng-Ling Yang, mwanasayansi nchini Japani, abadili maoni yake kuhusu nadharia ya mageuzi. Kwa nini?
Mtaalamu wa Biokemia Anatueleza kwa Nini Anaamini Kuna Mungu
Pata kujua ni mambo gani hakika ya kisayansi aliyochunguza na kwa nini ana imani katika Neno la Mungu.
Mtaalamu wa Biokemia Anaeleza kwa Nini Anamwamini Mungu
Ni nini kilichomfanya mtafiti fulani achunguze tena chanzo cha uhai, na ni nini kilichomsadikisha kwamba Biblia imetoka kwa Mungu?
Mtaalamu wa Hesabu Anaeleza kwa Nini Anamwamini Mungu
Kwa nini Profesa Gene Hwang anasema kwamba imani yake ya kidini haipingani na masomo yake?
Mpiga Piano Stadi Anaeleza kwa Nini Anamwamini Mungu
Muziki ulimsadikisha mtu huyu aanze kuamini kwamba kuna Muumba. Ni nini kilichomfanya aamini kwamba Biblia ni neno la Mungu?
Petr Muzny: Profesa wa Sheria Anaeleza Kwa Nini Anamwamini Mungu
Alizaliwa chini ya utawala wa Kikomunisti. Wazo la kuwepo kwa Muumba lilionwa kuwa halipatani na akili. Ona kilichomfanya abadili maoni yake.
“Ninasadiki Kwamba Uhai Ulibuniwa na Mungu”
Soma uone ni kwa nini mwanasayansi mmoja alibadili maoni yake kuhusu Biblia, mageuzi, na chanzo cha uhai.