A7-E
Matukio Muhimu Katika Maisha ya Yesu Duniani—Huduma Kuu ya Yesu Huko Galilaya (Sehemu ya 3) na Huko Yudea
WAKATI |
MAHALI |
TUKIO |
MATHAYO |
MARKO |
LUKA |
YOHANA |
---|---|---|---|---|---|---|
32, baada ya Pasaka |
Bahari ya Galilaya; Bethsaida |
Akiwa mashuani kuelekea Bethsaida, Yesu aonya kuhusu chachu ya Mafarisayo; amponya mwanamume kipofu |
||||
Eneo la Kaisaria Filipi |
Funguo za Ufalme; atabiri kifo na ufufuo wake |
|||||
Inaelekea ni Ml. Hermoni |
Kugeuka-sura; Yehova azungumza |
|||||
Eneo la Kaisaria Filipi |
Amponya mvulana aliyekuwa na roho mwovu |
|||||
Galilaya |
Atabiri tena kuhusu kifo chake |
|||||
Kapernaumu |
Alipa kodi kwa sarafu aliyoitoa kwenye kinywa cha samaki |
|||||
Mkuu katika Ufalme; mifano; kondoo aliyepotea na mtumwa asiyesamehe |
||||||
Galilaya-Samaria |
Wakielekea Yerusalemu, awaambia wanafunzi wake wadhabihu mambo yote kwa ajili ya Ufalme |
Huduma ya Yesu ya Baadaye Huko Yudea
WAKATI |
MAHALI |
TUKIO |
MATHAYO |
MARKO |
LUKA |
YOHANA |
---|---|---|---|---|---|---|
32, Sherehe ya Vibanda |
Yerusalemu |
Afundisha kwenye sherehe; maofisa watumwa ili kumkamata |
||||
Asema “Mimi ndiye nuru ya ulimwengu”; amponya mtu aliyezaliwa kipofu |
||||||
Inaeleke ni Yudea |
Awatuma wale 70; warudi wakishangilia |
|||||
Yudea; Bethania |
Mfano wa Msamaria mwema; awatembelea Maria na Martha nyumbani |
|||||
Inaelekea ni Yudea |
Afundisha tena ile sala ya kielelezo; mfano wa rafiki aliyeendelea kuomba |
|||||
Afukuza roho waovu kwa kutumia nguvu za Mungu; atoa tena ishara ya Yona |
||||||
Ala pamoja na Farisayo; ashutumu unafiki wa Mafarisayo |
||||||
Mifano: tajiri asiye na akili na msimamizi nyumba mwaminifu |
||||||
Amponya mwanamke kilema siku ya Sabato; mifano ya mbegu ya haradali na chachu |
||||||
32, Sherehe ya Wakfu |
Yerusalemu |
Mchungaji mwema na zizi la kondoo; Wayahudi wajaribu kumpiga mawe; avuka Yordani aenda Bethania |