A6-B
Chati: Manabii na Wafalme wa Yuda na Israeli (Sehemu ya 2)
Wafalme wa Ufalme wa Kusini (Imeendelezwa)
777 K.W.K.
Yothamu: Miaka 16
762
Ahazi: Miaka 16
746
Hezekia: Miaka 29
716
Manase: Miaka 55
661
Amoni: Miaka 2
659
Yosia: Miaka 31
628
Yehoahazi: Miezi 3
Yehoyakimu: Miaka 11
618
Yehoyakini: Miezi 3, siku 10
617
Sedekia: Miaka 11
607
Jiji la Yerusalemu na hekalu lake laharibiwa na majeshi ya Wababiloni yakiongozwa na Nebukadneza. Sedekia, mfalme wa mwisho wa kidunia katika ukoo wa Daudi, aondolewa mamlakani
Wafalme wa Ufalme wa Kaskazini (Imeendelezwa)
Karibu 803 K.W.K.
Zekaria: Miezi 6 kulingana na rekodi
Zekaria alianza kutawala kwa kadiri fulani, lakini inaonekana utawala wake haukuwa rasmi kabisa hadi karibu 792
Karibu 791
Shalumu: Mwezi 1
Menahemu: Miaka 10
Karibu 780
Pekahiya: Miaka 2
Karibu 778
Peka: Miaka 20
Karibu 758
Hoshea: Miaka 9 kuanzia karibu 748
Karibu 748
Inaelekea kwamba utawala wa Hoshea ulianza rasmi au labda aliungwa mkono na mfalme wa Ashuru aitwaye Tiglath-pileseri wa Tatu karibu 748
740
Waashuru wavamia Samaria, washinda Israeli; ufalme wa makabila kumi wa Israeli wafikia mwisho wake
-
Orodha ya Manabii
-
Isaya
-
Mika
-
Sefania
-
Yeremia
-
Nahumu
-
Habakuki
-
Danieli
-
Ezekieli
-
Obadia
-
Hosea