ONYESHA Kitabu cha Biblia Mwanzo Kutoka Mambo ya Walawi Hesabu Kumbukumbu la Torati Yoshua Waamuzi Ruthu 1 Samweli 2 Samweli 1 Wafalme 2 Wafalme 1 Mambo ya Nyakati 2 Mambo ya Nyakati Ezra Nehemia Esta Ayubu Zaburi Methali Mhubiri Wimbo wa Sulemani Isaya Yeremia Maombolezo Ezekieli Danieli Hosea Yoeli Amosi Obadia Yona Mika Nahumu Habakuki Sefania Hagai Zekaria Malaki Mathayo Marko Luka Yohana Matendo Waroma 1 Wakorintho 2 Wakorintho Wagalatia Waefeso Wafilipi Wakolosai 1 Wathesalonike 2 Wathesalonike 1 Timotheo 2 Timotheo Tito Filemoni Waebrania Yakobo 1 Petro 2 Petro 1 Yohana 2 Yohana 3 Yohana Yuda Ufunuo Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 Barua kwa Waroma Sura 1 2 3 4 5 6 7 8 9 10 11 12 13 14 15 16 Muhtasari wa Yaliyomo 1 Salamu (1-7) Paulo atamani kutembelea Roma (8-15) Mwadilifu ataishi kupitia imani (16, 17) Watu wasiomwogopa Mungu hawana sababu ya kujitetea (18-32) Sifa za Mungu zinaonekana kupitia uumbaji (20) 2 Hukumu ya Mungu dhidi ya Wayahudi na Wagiriki (1-16) Jinsi dhamiri inavyofanya kazi (14, 15) Wayahudi na Sheria (17-24) Kutahiriwa moyoni (25-29) 3 “Mungu na aonekane kuwa wa kweli” (1-8) Wayahudi na Wagiriki wako chini ya dhambi (9-20) Uadilifu kupitia imani (21-31) Wote wanapungukiwa na utukufu wa Mungu (23) 4 Abrahamu alitangazwa kuwa mwadilifu kupitia imani (1-12) Abrahamu, baba ya wale walio na imani (11) Kupokea ahadi kupitia imani (13-25) 5 Kupatanishwa na Mungu kupitia Kristo (1-11) Kifo kupitia Adamu, uzima kupitia Kristo (12-21) Dhambi na kifo vyaenea kwa wote (12) Tendo moja la kutetewa (18) 6 Uhai mpya kupitia ubatizo katika Kristo (1-11) Msiache dhambi itawale katika miili yenu (12-14) Kuacha utumwa wa dhambi na kuwa watumwa wa Mungu (15-23) Mshahara wa dhambi—kifo; Zawadi ya Mungu—uzima (23) 7 Kuwekwa huru kutoka katika Sheria kwafafanuliwa (1-6) Dhambi yafunuliwa kupitia Sheria (7-12) Kupambana na dhambi (13-25) 8 Uzima na uhuru kupitia roho (1-11) Roho ya kuwa wana hutoa ushahidi (12-17) Uumbaji unangojea uhuru wa wana wa Mungu (18-25) ‘Roho hutuombea’ (26, 27) Mungu aliwachagua awali (28-30) Ushindi kupitia upendo wa Mungu (31-39) 9 Paulo awahuzunikia Israeli wa kimwili (1-5) Uzao wa kweli wa Abrahamu (6-13) Mungu akichagua haiwezekani kumpinga (14-26) Vyombo vya ghadhabu na vya rehema (22, 23) Ni mabaki tu watakaookolewa (27-29) Israeli wajikwaa (30-33) 10 Jinsi ya kufikia uadilifu wa Mungu (1-15) Tangazo la hadharani (10) Kumwitia Yehova humaanisha wokovu (13) Miguu ya wahubiri inapendeza (15) Habari njema yakataliwa (16-21) 11 Israeli hawakukataliwa wote (1-16) Mfano wa mzeituni (17-32) Kina cha hekima ya Mungu (33-36) 12 Toeni miili yenu iwe dhabihu iliyo hai (1, 2) Zawadi mbalimbali lakini mwili mmoja (3-8) Ushauri kuhusu maisha ya Wakristo wa kweli (9-21) 13 Kujitiisha chini ya mamlaka (1-7) Kulipa kodi (6, 7) Upendo hutimiza Sheria (8-10) Jiendesheni kama wakati wa mchana (11-14) 14 Msihukumiane (1-12) Msiwakwaze wengine (13-18) Jitahidi kupata amani na umoja (19-23) 15 Karibishaneni kama Kristo alivyofanya (1-13) Paulo, mtumishi kwa mataifa (14-21) Mipango ya safari za Paulo (22-33) 16 Paulo amtambulisha Fibi, mhudumu (1, 2) Salamu kwa Wakristo huko Roma (3-16) Waonywa kuhusu migawanyiko (17-20) Salamu kutoka kwa wafanyakazi wenzi wa Paulo (21-24) Siri takatifu yafunuliwa (25-27) Inayotangulia Inayofuata Chapa Shiriki Shiriki Waroma—Yaliyomo BIBLIA TAKATIFU—TAFSIRI YA ULIMWENGU MPYA (TOLEO LA 2017) Waroma—Yaliyomo Kiswahili Waroma—Yaliyomo https://assetsnffrgf-a.akamaihd.net/assets/ct/1add6d1d93/images/syn_placeholder_sqr.png