Aprili 6-12
Jumanne, Aprili 7, 2020—Ukumbusho wa Kifo cha Kristo
Kila mwaka katika majira ya Ukumbusho, Wakristo wengi hutafakari kuhusu upendo ambao Yehova Mungu na Mwana wake, Yesu Kristo, walionyesha. Hayo ndiyo maonyesho mawili makuu zaidi ya upendo ambayo wanadamu wamewahi kuonyeshwa. (Yoh 3:16; 15:13) Unaweza kutumia chati hii kulinganisha masimulizi ya vitabu vya Injili kuhusu huduma ya mwisho ya Yesu kule Yerusalemu. Matukio hayo yanazungumziwa katika sehemu ya 6 ya kitabu Yesu—Njia, Kweli, na Uzima. Upendo wa Mungu na wa Kristo utakuchocheaje?—2Ko 5:14, 15; 1Yo 4:16, 19.
HUDUMA YA MWISHO YA YESU KULE YERUSALEMU
Wakati |
Mahali |
Tukio |
Mathayo |
Marko |
Luka |
Yohana |
---|---|---|---|---|---|---|
33, Nisani 8 (Aprili 1-2, 2020) |
Bethania |
Yesu awasili siku sita kabla ya Pasaka |
|
|
|
|
Nisani 9 (Aprili 2-3, 2020) |
Bethania |
Maria ammiminia Yesu mafuta kichwani na miguuni |
|
|||
Bethania-Bethfage-Yerusalemu |
Aingia Yerusalemu kwa ushindi, akiwa juu ya punda |
|||||
Nisani 10 (Aprili 3-4, 2020) |
Bethania-Yerusalemu |
Aulaani mtini; alisafisha hekalu tena |
|
|||
Yerusalemu |
Makuhani wakuu na waandishi wapanga njama ya kumuua Yesu |
|
|
|||
Yehova azungumza; Yesu atabiri kifo chake; kutoamini kwa Wayahudi kwatimiza unabii wa Isaya |
|
|
|
|||
Nisani 11 (Aprili 4-5, 2020) |
Bethania-Yerusalemu |
Somo la mtini ulionyauka |
|
|
||
Yerusalemu, hekalu |
Mamlaka yake yatiliwa shaka; mfano wa wana wawili |
|
||||
Mifano ya: wakulima wauaji wa shamba la mizabibu, karamu ya ndoa |
|
|||||
Ajibu maswali kumhusu Mungu na Kaisari, ufufuo, sheria iliyo kuu zaidi |
|
|||||
Auuliza umati ikiwa Kristo ni mwana wa Daudi |
|
|||||
Ole kwa waandishi na Mafarisayo |
|
|||||
Aona mchango wa mjane |
|
|
||||
Mlima wa Mizeituni |
Ataja ishara ya kuwapo kwake wakati ujao |
|
||||
Mifano ya mabikira kumi, talanta, kondoo na mbuzi |
|
|
|
|||
Nisani 12 (Aprili 5-6, 2020) |
Yerusalemu |
Viongozi Wayahudi wapanga njama ya kumuua |
|
|||
Yuda apanga jinsi atakavyomsaliti |
|
|||||
Nisani 13 (Aprili 6-7, 2020) |
Akiwa Yerusalemu na maeneo ya karibu |
Matayarisho ya Pasaka ya mwisho |
|
|||
Nisani 14 (Aprili 7-8, 2020) |
Yerusalemu |
Ala Pasaka pamoja na mitume wake |
|
|||
Awaosha mitume wake miguu |
|
|
|
|||
Yesu amtaja Yuda kuwa msaliti kisha amfukuza |
||||||
Aanzisha Mlo wa Jioni wa Bwana (1Ko 11:23-25) |
|
|||||
Atabiri kwamba Petro atamkana na mitume watatawanyika |
||||||
Aahidi kumtuma msaidizi; mfano wa mzabibu wa kweli; atoa amri ya kupendana; sala ya mwisho pamoja na mitume wake |
|
|
|
|||
Gethsemane |
Maumivu makali kwenye bustani; Yesu asalitiwa na kukamatwa |
|||||
Yerusalemu |
Ahojiwa na Anasi; ahojiwa na Kayafa, Sanhedrini; Petro amkana |
|||||
Yuda msaliti ajinyonga (Mdo 1:18, 19) |
|
|
|
|||
Mbele ya Pilato, kisha Herode, na kurudi kwa Pilato |
||||||
Pilato ataka kumwachilia lakini Wayahudi wasema wanamtaka Baraba; ahukumiwa kuuawa kwenye mti wa mateso |
||||||
(Karibu saa 9:00 alasiri) |
Golgotha |
Afa kwenye mti wa mateso |
||||
Yerusalemu |
Mwili wake watolewa mtini na kuwekwa kaburini |
|||||
Nisani 15 (Aprili 8-9, 2020) |
Yerusalemu |
Makuhani na Mafarisayo waweka walinzi kulilinda kaburi na kulitia muhuri |
|
|
|
|
Nisani 16 (Aprili 9-10, 2020) |
Yerusalemu na maeneo ya karibu; Emau |
Yesu afufuliwa; awatokea wanafunzi mara tano |
||||
Baada ya Nisani 16 |
Yerusalemu; Galilaya |
Awatokea wanafunzi wake tena na tena (1Ko 15:5-7; Mdo 1:3-8); awafundisha; awatuma kufanya wanafunzi |
|
|