Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Machi 21-27

Ayubu 6-10

Machi 21-27
  • Wimbo 68 na Sala

  • Utangulizi (Isizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: wp16.2 16—Mweleze kuhusu mpango wa kuchangia. (Isizidi dak. 2)

  • Ziara ya Kurudia: wp16.2 16—Weka msingi wa ziara inayofuata. (Isizidi dak. 4)

  • Funzo la Biblia: fg somo la 2 ¶6-8 (Isizidi dak. 6)

MAISHA YA MKRISTO

  • Wimbo 114

  • Tumia Ufahamu Unapowafariji Wengine: (Dak. 15) Mazungumzo. Onyesha video ambayo wazee walitazama hivi karibuni katika Shule ya Huduma ya Ufalme. Kisha waombe wasikilizaji waeleze jinsi ndugu hao wawili walivyoweka kielelezo kizuri kwa kumtia moyo mtu aliyevunjika moyo kwa sababu ya kifo cha mpendwa wake.

  • Funzo la Biblia la Kutaniko: ia sura ya 11 ¶12-20, mambo ya kufikiria kwenye uku. 98 (Dak. 30)

  • Pitia Mambo Makuu Ambayo Mmejifunza, na Mtakayojifunza Juma Linalofuata (Dak. 3)

  • Wimbo 27 na Sala