Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Machi 27–Aprili 2

YEREMIA 12-16

Machi 27–Aprili 2
  • Wimbo 135 na Sala

  • Utangulizi (Usizidi dak. 3)

HAZINA ZA NENO LA MUNGU

  • Waisraeli Walimsahau Yehova”: (Dak. 10)

    • Yer 13:1-5—Yeremia alitii maagizo ya Mungu ya kuficha mshipi wa kitani, ingawa kufanya hivyo kulihitaji jitihada kubwa (jr 51-52 ¶17)

    • Yer 13:6, 7—Yeremia alipotembea mbali kwenda kuuchukua mshipi huo, aliupata ukiwa umeharibika (jr 52 ¶18)

    • Yer 13:8-11—Yehova alikuwa akionyesha kwamba uhusiano wa karibu kati yake na Waisraeli ungeharibika kwa sababu ya ukaidi wao (jr 52-53 ¶19-20; it-1 1121 ¶2)

  • Kutafuta Hazina za Kiroho: (Dak. 8)

    • Yer 12:1, 2, 14—Yeremia aliuliza swali gani, na Yehova alimjibuje? (jr 118-119 ¶11)

    • Yer 15:17—Yeremia alizingatia nini kuhusu mashirika, nasi tunaweza kumwigaje? (w04 5/1 12 ¶16)

    • Usomaji wa Biblia wa juma hili unanifundisha nini kumhusu Yehova?

    • Ni mambo gani katika usomaji wa Biblia wa juma hili ninayoweza kushiriki na wengine katika huduma ya shambani?

  • Usomaji wa Biblia: (Isizidi dak. 4) Yer 13:15-27

BORESHA HUDUMA YAKO

  • Ziara ya Kwanza: (Isizidi dak. 2) Mwaliko wa Ukumbusho na video—Weka msingi wa ziara ya kurudia.

  • Ziara ya Kurudia: (Isizidi dak. 4) Mwaliko wa Ukumbusho na video—Weka msingi wa ziara inayofuata.

  • Hotuba: (Isizidi dak. 6) w16.03 29-31—Kichwa: Ni Wakati Gani Watu wa Mungu Walichukuliwa Mateka na Babiloni Mkubwa?

MAISHA YA MKRISTO