Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2007
Fahirisi ya Amkeni! kwa Mwaka wa 2007
WANYAMA NA MIMEA
Chavua, 4/07
Chukar (ndege), 2/07
Dubu wa Majini, 3/07
Kula Viwavi, 5/07
Ladybird, 1/07
Matunda Matamu Kutoka Msituni (beri), 9/07
Mivinje, 2/07
Ndege Huongozwa na Silika, 7/07
Papa, 10/07
Shark Bay, 7/07
Tunda la Watengenezaji Manukato (bergamot), 6/07
Waridi Kutoka Afrika, 10/07
UCHUMI NA KAZI
Kupenda Pesa, 6/07
AFYA NA TIBA
“Fungu Muhimu Katika Maendeleo ya Kitiba” (matibabu bila damu), 9/07
Kwa Nini Mimi Huzimia? 4/07
Kwa Nini Umwone Daktari wa Meno? 5/07
Magonjwa Hayatakuwapo Tena! 1/07
Maumivu ya Meno, 9/07
Mtazamo mzuri, 9/07
MAHUSIANO YA WANADAMU
Hatua za Kuwa Mzazi Bora, 8/07
Kutosheleza Mahitaji ya Vijana, 3/07
“Mjionyeshe Kuwa Wenye Shukrani,” 10/07
Viapo vya Kujiepusha na Ngono, 2/07
Walinde Watoto Wako (kutendewa vibaya kingono), 10/07
MASHAHIDI WA YEHOVA
Broshua Anataka, 8/07
“Fungu Muhimu Katika Maendeleo ya Kitiba” (matibabu bila damu), 9/07
Kituo cha Umeme Chatokeza Mwangaza wa Kiroho (Jumba la Ufalme Italia), 10/07
Mafundisho ya Kimungu Huwa na Matokeo Mazuri, 8/07
Makusanyiko ya Wilaya ya “Mfuateni Kristo!”, 5/07, 6/07
Ziwa Baikal (Urusi), 12/07
NCHI NA WATU
“Bata-Maji Mweusi” wa Venice (Italia), 5/07
Baikal—Ziwa Kubwa Zaidi Ulimwenguni (Urusi), 12/07
“Hekima ya Vitu vya Asili” (Expo 2005, Japani), 3/07
Kamchatka—Rasi Maridadi, 3/07
Kisiwa cha Krismasi, 8/07
Kula Viwavi, (Zambia), 5/07
Manowari za Hispania, 8/07
Mfalme Atafuta Hekima (Hispania), 1/07
Mfalme Aliyetimiza Mengi (Kamerun), 12/07
Misri Hadi Majiji Mengine (minara), 4/07
Mwamba Mkubwa Ajabu (Kanada), 4/07
Sauti ya “Jiji la Milele” (Chemchemi ya Trevi, Rome), 8/07
Shark Bay (Australia), 7/07
Svalbard—Eneo Lenye Pwani Baridi (Norway), 2/07
Timor Mashariki, 5/07
Toledo (Hispania), 6/07
Tumbawe Kubwa la Belize, 1/07
Ugaidi Mumbai (India), 6/07
Vanuatu, 9/07
Wafuaji wa Nguo wa Abidjan (Côte d’Ivoire), 6/07
Wahindi wa Brazili, 10/07
Waridi Kutoka Afrika, 10/07
MASIMULIZI YA MAISHA
Kitu Bora Kuliko Mchezo Nilioupenda (K. H. Schwoerer), 12/07
Kitu Ambacho Kinadumu Kuliko Sanaa (R. Koivisto), 4/07
Kwa Nini Niliacha Sarakasi (M. Neím), 6/07
Niliacha Kuwa Mtumwa wa Kileo, 5/07
Nilichagua Kazi Inayofaa (S. Quevedo), 3/07
Ninapenda Muziki, Maisha, na Biblia (B. Gulashevsky), 8/07
“Yehova, Tafadhali Niruhusu Nikutumikie” (D. Hall), 7/07
MAMBO MENGINE
Jitu Linalolala (volkano), 2/07
Kujifunza Lugha Nyingine, 3/07
Mwongozo Bora Kuliko Silika, 7/07
Penseli, 7/07
Utiaji Nguo Rangi, 4/07
DINI
Biblia Inazungumzia Nini? 11/07
Dhana au Mambo Hakika? (Mafundisho ya Biblia), 11/07
Jina la Mungu Limejulishwa, 12/07
Jinsi Biblia Ilivyotufikia, 11/07
Kifo Ndio Mwisho? 12/07
Kitabu cha Pekee (Biblia), 11/07
Kuitegemea Biblia? 11/07
Mahali pa Kubatizia, 9/07
Mungu Husababisha Misiba ya Asili? 9/07
Safina ya Noa na Uundaji wa Meli, 1/07
Waliishi Miaka Mingi Hivyo? (ulimwengu kabla ya Gharika), 7/07
Wonyesho wa Kudumu wa Upendo wa Mungu (Biblia), 11/07
Zimeacha Kuwavutia Watu? 2/07
SAYANSI
Manyoya, 7/07
Upofu wa Rangi, 7/07
Vitu vya Kale Vinaunga Mkono Biblia? 11/07
MAONI YA BIBLIA
Inamaanisha Nini Kuwa Mkristo? 4/07
Kumwabudu Mungu Kunaweza Kufurahisha? 8/07
“Kuwa Mwema,” 7/07
Kwa Nini Tutunze Mazingira? 12/07
Maisha Yako Yameamuliwa Mapema? 5/07
Maoni Gani Kuhusu Pesa? 6/07
Ni Nani Aliyeitunga Biblia? 11/07
Ni Nini Hutupata Tunapokufa? 10/07
Ni Vibaya Kutumia Njia za Kuzuia Uzazi? 9/07
Shetani Ni Kiumbe Halisi? 2/07
Ukristo Umeshindwa? 1/07
Unyenyekevu Ni Udhaifu au Sifa Nzuri? 3/07
MATUKIO NA HALI ZA ULIMWENGU
Kuzorota kwa Maadili, 4/07
Msongamano wa Magari, 2/07
Ulimwengu Usio na Usawa, 5/07
“Vifaa vya Uharibifu” Vilitabiriwa (ndege za kivita), 10/07
VIJANA HUULIZA
Kuepukaje Ngono Kati ya Watu wa Jinsia Moja? 2/07
Kuepukaje Ponografia? 12/07
Kuzuiaje Porojo? 8/07
Kwa Nini Mimi Hulinganishwa na Wengine? 4/07
Kwa Nini Wengine Hunitenga? 7/07
Mtu Huyu Ananifaa? 5/07
Nianze Urafiki na Mtu wa Jinsia Tofauti Lini? 1/07
Nifanyeje Nikiombwa Nifanye Ngono? 3/07
Kwa Nini Niishi Kupatana na Viwango vya Biblia? 11/07
Ninaishi Kati ya Tamaduni Mbili, 9/07
Uhusiano wa Siri, 6/07
Wazazi Wanapobishana, 10/07