‘Amani Kama Mto’
Pakua:
1. Si rahisi kukabiliana,
Na matatizo na wasiwasi.
Twahangaika mara nyingi,
Tukisali, atuahidi.
(KORASI)
Hutupatia amani—
Utulivu moyoni—
Tumaini letu,
Latuimarisha naye yuko na sisi.
Amani yake hudumu, amani ya kweli.
2. Mmiminie moyo wako.
Yehova daima husikia
Atutunza na kutufariji.
Twapata upendo wake.
(KORASI)
Hutupatia amani—
Utulivu moyoni—
Tumaini letu,
Latuimarisha naye yuko na sisi.
Amani yake hudumu, amani ya kweli.
(KORASI)
Hutupatia amani—
Utulivu moyoni—
Tumaini letu,
Latuimarisha naye yuko na sisi.
Amani yake hudumu, amani ya kweli.