Tafuta Majibu ya Maswali Haya
1. Kwa nini ‘hatuionei aibu habari njema’? (Rom. 1:16; 11:13)
2. Tunachukuaje msimamo upande wa habari njema? (Mt. 10:32; Rom. 10:9)
3. Ni nini kinachofanya tuwe wafanyakazi wenye matokeo katika huduma? (2 Tim. 2:15)
4. Tunawezaje kuiga mfano wa Onesiforo? (2 Tim. 1:7, 8)
5. Tunaonyeshaje kwamba hatuonei aibu kumwakilisha na kumtetea Mungu wetu? (Ebr. 10:39; 1 Pet. 3:15; Yoh. 18:36; 1 The. 5:12, 13)
6. Tunawezaje ‘kujigamba kwa sababu ya Yehova’? (Zab. 34:1, 2; 1 Kor. 1:31)
© 2024 Watch Tower Bible and Tract Society of Pennsylvania
CA-brpgm25-SW