‘Jiendeshe kwa Njia Inayostahili Habari Njema’
Asubuhi
-
3:40 Muziki
-
3:50 Wimbo Na. 35 na Sala
-
4:00 Habari Njema Zinakubadili Jinsi Gani?
-
4:15 Mfululizo: Jinsi Habari Njema Ilivyobadili Maisha Yao
-
• Stefano
-
• Filipo
-
• Akila na Prisila
-
• Tito
-
-
5:05 Wimbo Na. 76 na Matangazo
-
5:15 Endeleeni Kuwa na “Vitendo vya Ujitoaji-Kimungu”
-
5:35 Ubatizo: Endelea ‘Kujitiisha Kwenye Habari Njema’
-
6:05 Wimbo Na. 37
Alasiri
-
7:20 Muziki
-
7:30 Wimbo Na. 56 na Sala
-
7:35 Hotuba ya Watu Wote: Kwa Nini Unaamini Mambo Unayoamini?
-
8:05 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
-
8:35 Wimbo Na. 24 na Matangazo
-
8:45 Mfululizo: “Tunajipendekeza Kuwa Wahudumu wa Mungu, kwa . . . ”
-
• Uvumilivu
-
• Fadhili
-
• Unyoofu
-
-
9:30 Unazoezwa Jinsi Gani?
-
10:00 Wimbo Na. 29 na Sala