“Upendo Hujenga”
ASUBUHI
-
3:30 Muziki
-
3:40 Wimbo Na. 90 na Sala
-
3:50 “Ujuzi Huleta Majivuno Lakini Upendo Hujenga”
-
4:05 Mfululizo: Waliwajenga Wengine
-
Barnaba
-
Paulo
-
Dorkasi
-
-
5:05 Wimbo Na. 79 na Matangazo
-
5:15 Fanya Mengi Zaidi ya Kuhubiri Habari Njema
-
5:30 Wakfu na Ubatizo
-
6:00 Wimbo Na. 52
ALASIRI
-
7:10 Muziki
-
7:20 Wimbo Na. 107 na Sala
-
7:30 Hotuba ya Watu Wote: Upendo Hushikamana na Kweli—Jinsi Gani?
-
8:00 Muhtasari wa Mnara wa Mlinzi
-
8:30 Wimbo Na. 101 na Matangazo
-
8:40 Mfululizo: Changia Ukuzi wa Mwili
-
Penda Kweli za Biblia
-
Shikamana na Hekima ya Sheria za Mungu
-
Wajenge Waabudu Wenzako
-
-
9:40 “Mambo Yote Mnayofanya Yafanyeni kwa Upendo”
-
10:15 Wimbo Na. 105 na Sala