Hamia kwenye habari

Hamia kwenye yaliyomo

Mfululizo wa Matukio

Mfululizo wa Matukio
  1. “Hapo mwanzo . . . ”

  2. 4026 K.W.K. Kuumbwa kwa Adamu

  3. 3096 K.W.K. Kifo cha Adamu

  4. 2370 K.W.K. Gharika yaanza

  5. 2018 K.W.K. Abrahamu azaliwa

  6. 1943 K.W.K. Agano la Kiabrahamu

  7. 1750 K.W.K. Yosefu auzwa utumwani

  8. kabla ya 1613 K.W.K. Ayubu ajaribiwa

  9. 1513 K.W.K. Kutoka Misri

  10. 1473 K.W.K. Taifa la Israeli laingia Kanaani likiongozwa na Yoshua

  11. 1467 K.W.K. Ushindi dhidi ya Kanaani wakamilika

  12. 1117 K.W.K. Sauli atiwa mafuta awe mfalme

  13. 1070 K.W.K. Mungu amwahidi Daudi Ufalme

  14. 1037 K.W.K. Sulemani awa mfalme

  15. 1027 K.W.K. Hekalu la Yerusalemu lakamilika

  16. mnamo 1020 K.W.K. Wimbo wa Sulemani wakamilika

  17. 997 K.W.K. Taifa la Israeli lagawanyika na kuwa falme mbili

  18. mnamo 717 K.W.K. Kuandikwa kwa Methali kwakamilika

  19. 607 K.W.K. Jiji la Yerusalemu laharibiwa; uhamisho wa Babiloni waanza

  20. 539 K.W.K. Koreshi aangusha Babiloni

  21. 537 K.W.K. Wayahudi warudi Yerusalemu

  22. 455 K.W.K. Kuta za Yerusalemu zajengwa upya; Majuma 69 ya miaka yaanza

  23. Baada ya 443 K.W.K. Malaki akamilisha kitabu chake cha kinabii

  24. mnamo 2 K.W.K. Kuzaliwa kwa Yesu

  25. 29 W.K. Yesu abatizwa Yesu aanza kuhubiri kuhusu Ufalme wa Mungu

  26. 31 W.K. Yesu achagua mitume 12; Mahubiri ya Mlimani

  27. 32 W.K. Yesu amfufua Lazaro

  28. Nisani 14, 33 W.K. Yesu atundikwa (Sehemu ya mwezi wa 3 na sehemu ya mwezi wa 4 katika kalenda ya leo)

  29. Nisani 16, 33 W.K. Yesu afufuliwa

  30. Sivani 6, 33 W.K. Pentekoste; roho takatifu yamiminwa (Sehemu ya mwezi wa 5 na sehemu ya mwezi wa 6 katika kalenda ya leo)

  31. 36 W.K. Kornelio awa Mkristo

  32. mnamo 47-48 W.K. Safari ya kwanza ya Paulo ya kuhubiri

  33. mnamo 49-52 W.K. Safari ya pili ya Paulo ya kuhubiri

  34. mnamo 52-56 W.K. Safari ya tatu ya Paulo ya kuhubiri

  35. mnamo 60-61 W.K. Paulo aandika barua akiwa gerezani Roma

  36. kabla ya 62 W.K. Yakobo, ndugu wa kambo wa Yesu, aandika barua yake

  37. 66 W.K. Wayahudi waasi dhidi ya Roma

  38. 70 W.K. Waroma waharibu Yerusalemu pamoja na hekalu lake

  39. mnamo 96 W.K. Yohana aandika Ufunuo

  40. mnamo 100 W.K. Kifo cha Yohana, mtume wa mwisho