Taarifa Fupi—Myanmar
- 56,145,000—Idadi
- 5,171—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
- 96—Makutaniko
- 1 kwa 10,962—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini
TAARIFA ZA HABARI
Kitabu cha Mathayo Kimetolewa Katika Kichin (cha Hakha) na Kimizo
TAARIFA ZA HABARI
Tafsiri ya Ulimwengu Mpya Yatolewa Katika Lugha ya Karen (S’gaw)
TAARIFA ZA HABARI
2021 Mwadhimisho wa Ukumbusho—Myanmar
TAARIFA ZA HABARI
Biblia Sita Nyingine Zatolewa Katika Mwisho-Juma wa Pili Mfululizo
MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO
Walijitoa Wenyewe kwa Hiari—Nchini Myanmar
Kwa nini Mashahidi wengi wa Yehova wamehama nchi zao na kuhamia nchini Myanmar ili kusaidia katika kazi ya mavuno ya kiroho?
MATUKIO YA PEKEE
Hatutaki Kusanyiko Liishe
Jionee upendo na umoja kati ya watu wa kabila, lugha, na vikundi vya mataifa mbalimbali katika kusanyiko la eneo la pekee la Mashahidi wa Yehova lililofanywa Yangon, Myanmar.