Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Nigeria

  • Idanre, Nigeria​—Kumwachia mtu gazeti la Mnara wa Mlinzi

Taarifa Fupi—Nigeria

  • 222,182,000—Idadi
  • 400,375—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 6,071—Makutaniko
  • 1 kwa 589—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

JINSI MICHANGO YAKO INAVYOTUMIWA

Kituo cha Satelaiti cha JW Kinachofika Maeneo Ambapo Intaneti Haifiki

Ndugu barani Afrika hutumia nini kutazama JW Broadcasting ikiwa hawawezi kupata Intaneti?

MNARA WA MLINZI—TOLEO LA FUNZO

Urithi Mkubwa wa Kiroho Ulinisaidia Kusitawi

Furahia kusoma simulizi la maisha la Woodworth Mills, ambaye amekuwa akimtumikia Yehova kwa uaminifu kwa miaka 80 hivi.

MIRADI YA UJENZI

Majumba 3,000 ya Ufalme Yajengwa Nchini Nigeria

Mkutano wa pekee ulifanywa ili kuadhimisha hatua muhimu katika historia ya ujenzi wa Majumba ya Ufalme nchini Nigeria. Historia fupi ya kazi ya Mashahidi wa Yehova tangu miaka ya 1920 ilizungumziwa.