Mashahidi wa Yehova—Taarifa Fupi Kulingana na Nchi

Peru

  • Chachapoyas, Peru—Kuwahubiri kuhusu Ufalme wa Mungu wakulima wanaozungumza Kihispania

Taarifa Fupi—Peru

  • 33,966,000—Idadi
  • 133,366—Wahudumu Wanaofundisha Biblia
  • 1,551—Makutaniko
  • 1 kwa 261—Uwiano wa Mashahidi wa Yehova kwa kulinganishwa na idadi ya watu nchini

KAZI YA UCHAPISHAJI

Habari Njema Katika Milima ya Andes

Watu wa Peru wanaozungumza Kikwechua wanamkaribia Mungu zaidi kwa msaada wa machapisho na Tafsiri ya Ulimwengu Mpya katika lugha yao.