Kimbunga Nchini Filipino—Imani Iliwawezesha Kushinda Matatizo
Ona masimulizi ya waokokaji.
Habari Zinazohusiana
Kukabiliana na Majanga Amani na Furaha Kusaidia Jamii Utendaji wa Mashahidi wa YehovaHuenda Ukapenda Pia
KUSAIDIA JAMII
Upendo Unatuchochea Kusaidia Majanga Yanapotokea
Katika nchi nyingi, Mashahidi wa Yehova wanatoa misaada wakati wa shida.
TAARIFA ZA HABARI
Mwaka Mmoja Baada ya Kimbunga Haiyan, Waathiriwa Wapata Makao Mapya
Mashahidi wa Yehova walianzisha mradi mkubwa wa ujenzi wa nyumba 750 hivi muda mfupi baada ya Kimbunga Haiyan.
TAARIFA ZA HABARI
Habari ya Karibuni: Mashahidi wa Yehova Watoa Msaada Baada ya Kimbunga Haiyan
Raia wa Filipino wanaendelea kufaidika na shughuli ya kutoa msaada. Wamepokea zaidi ya tani 190 za misaada na watu wamejitolea ili kuwasaidia.
TAARIFA ZA HABARI
Kimbunga Haiyan Chaipiga Filipino
Dhoruba hiyo ilisababisha vifo vya watu wengi na kuharibu mali nyingi. Mashahidi wa Yehova wanashirikiana na wenye mamlaka katika serikali ili kutoa msaada unaohitajika kwa walioathiriwa.
KUSAIDIA JAMII
Mafuriko Katika Jimbo la Alberta
Mashahidi wa Yehova walitoa msaada gani kwa ajili ya watu walioathiriwa na mafuriko kule Alberta, Kanada?
KUSAIDIA JAMII
Utoaji wa Misaada Baada ya Kimbunga Sandy—Upendo Waonyeshwa kwa Matendo
Tazama ripoti inayoonyesha jinsi Mashahidi wa Yehova walivyowasaidia waabudu wenzao na watu wengine walioathiriwa na kimbunga kilichosababisha uharibifu mkubwa.